DEGESWASWA
Member
- Apr 12, 2019
- 86
- 93
Salaam..............
Leo naleta uzi huu kwenu wana JF nikiomba kujua vitu vichache na vingi sana toka kwenu, nafahamu kuwa swala la kujiajiri limekuwa swala mtambuka Sana miongoni mwetu vijana. Nimejifunza pia katika ajira na maswala mtaji kikubwa kinachotufelisha wengi wetu ni kutoaminiwa na watu waliozikalia ama kuzishikiria fursa pengine unaweza uka shangaa katika hili lakini huo ndio ukweli uliopo katika mazingira halisi tunayoishi
Ni mara kadhaa mabraza na mafaza walionizidi umri wamegoma kuniambia the secret behind their success mpaka nashangaa kwa nini huwa wanabana katika hili
Nimekuwa nikiandika nyuzi mbalimbali zinazohusiana na fursa za biashara nje na mipaka ya hii Tanzania na leo natamani sana kufahamu fursa za biashara na kiasi kidogo cha mtaji chakuanzia katika biashara husika
Naomba msaada wenu leo natamani kuijua Zanzibar na biashara zake
FUNGUKA HAPA[emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app