Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Okay nimepafahamu boss sawa sawa Kilimanjaro nasi tuna ardhi ndogo sana lakini tunajaribu kuitumia vizuri nadhani Tanzania yote ingekua Kama Kilimanjaro hata Kenya na nigeria tungewapita naamini watu na serikali wana hate swala la Maendeleo ya huku na watu wake ndio maana Tanzania ya CCM tangu uhuru ni ile ile.Sio machame mkuu unapandia hapa Bomangombe unapita Sanya Juu unanyoosha Moja Kwa Moja mpaka Kule Londrosi Gate utakuta wakulima wanavuna na utaanza kununua kutoka Kwa wakulima boss na Kuna haya mafuso yako Kule mashambani .
Okay nimepafahamu boss sawa sawa Kilimanjaro nasi tuna ardhi ndogo sana lakini tunajaribu kuitumia vizuri nadhani Tanzania yote ingekua Kama Kilimanjaro hata Kenya na nigeria tungewapita naamini watu na serikali wana hate swala la Maendeleo ya huku na watu wake ndio maana Tanzania ya CCM tangu uhuru ni ile ile.
sasa kipindi cha Mrema TLP tulipigwa vita sana na sasa tunapigwa vita na serikali iliyopo madarakani, mi naona Bora mangi wetu alivo enda kwa malkia tungepewa tu uhuru kama nchi..
Longoi ndiyo mkuuMku kuna sehemu moja huko panaitwa Longoi au Long'oi bila kukosea nahisi ile ni Arusha Chini una pajua
Niliwahi kuja huko zamani karibu na kunakopatikana Magadi au Kimashuku.Longoi ndiyo mkuu
Ya kununua au unakodi maana bei ya kukodi inaeza kuwa 140k kwa ekari kama ni shamba kwa kununua sina data napo sana labda niulizeNiliwahi kuja huko zamani karibu na kunakopatikana Magadi au Kimashuku.
Ekari moja inapatikana kwa bei gani Mku