Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Sio machame mkuu unapandia hapa Bomangombe unapita Sanya Juu unanyoosha Moja Kwa Moja mpaka Kule Londrosi Gate utakuta wakulima wanavuna na utaanza kununua kutoka Kwa wakulima boss na Kuna haya mafuso yako Kule mashambani .