Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh mkuu!!! Ushaijua jinsiayake!!labda unaweza kuwa na mimba kapime
labda unaweza kuwa na mimba kapime
asanteni jamani kwa ushauri let me do what u hv advised me.mungu awabariki
?labda unaweza kuwa na mimba kapime
nmerudi hosp nkabidi nipime tena dk akanambia minyoo imeisha kuna amoeba so nmepewa dawa za amoeba ngoja nione impact yake
jamani nsaidieni ninasumbuliwa na kichefuchefu mate yanajaa mdomoni nahisi kutapka ila sitapiki,nlenda hospital nkaambiwa nna minyoo nkapewa dawa kweli nkaona nafuu ila baada ya wiki 2 tu hali imerudi ileile.nsaidieni tatizo ni nini
labda unaweza kuwa na mimba kapime