Mimi ni kijana wa miaka 33. Nasumbuliwa na kifua (kukohoa) kwa takribani miezi miwili sasa. Hilo tatizo liliwahi kunipata mwaka 2012 nikatibiwa nikapona. Sasa limejirudia tena.
Hatua nilizochukua.
Nilikwenda kwa Dr akanipima na kuniandikia dawa za aina mbalimbali nikatumia bila mafanikio, akaniambia ni-check TB nikafanya hivyo na majibu yalipotoka nikaambiwa sina. Sasa najiuliza tatizo ni nini?
NB
Niliwahi kuwa mtumiaji wa pombe kali. Eg konyagi na zingine kutoka nje.
Natanguliza shukrani.