Naomba msaada wenu madaktari.

Naomba msaada wenu madaktari.

mpuko

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
662
Reaction score
552
Mimi ni kijana wa miaka 33. Nasumbuliwa na kifua (kukohoa) kwa takribani miezi miwili sasa. Hilo tatizo liliwahi kunipata mwaka 2012 nikatibiwa nikapona. Sasa limejirudia tena.

Hatua nilizochukua.

Nilikwenda kwa Dr akanipima na kuniandikia dawa za aina mbalimbali nikatumia bila mafanikio, akaniambia ni-check TB nikafanya hivyo na majibu yalipotoka nikaambiwa sina. Sasa najiuliza tatizo ni nini?

NB

Niliwahi kuwa mtumiaji wa pombe kali. Eg konyagi na zingine kutoka nje.

Natanguliza shukrani.
 
Jaribu pia kufanya allergy test. Mimi niliwahi kupata tatzo hilo la kikohozi walinipima TB pamoja na kufanya vipimo ingin tofauti sikuonekana na tatizo. Mwisho daktri alishauri nifanye allergy test huko nilikuta nina allergy ya vitu mia kidogo.
 
Nilishawahi kufanya hiyo kitu ila ni katambo sana. But Nashukuru kwa ushauri nitafanya hivyo ili kujua shida iko wapi.
 
Back
Top Bottom