Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,446
Nilikuwa na tatizo kidogo ambalo lipo nje ya uwezo wangu na pia vile vile nakosa time ya kuweza kukaa chini na kuweza kusolve hilo swala...Nilikuwa na laptop aina ya COMPAQ nimenunua nadhani hata 5 month bado haijafikisha sasa hiyo laptop inatatizo kidogo na hilo tatizo nikiwasha inajiristart yenyewe nadhani mara ya kwanza ilinitokea hilo swala nikapeleka kwa fundi akalekebisha ikawa fresh na nikatumia vizuri kabisa sasa hilo tatizo limejiludia tena nikampelekea yule yule aliyetengeneza mara ya kwanza akaniambia niiache hiyo laptop alafu ataicheck vizuri so leo kanipigia simu anasema kwamba inahitajika HARD DRIVE nyingine ambayo inauzwa hela nyingi kidogo I mean kama £89 sasa kwa mahesabu ya kwetu TZ ni 169,000/= sasa nilikuwa nashangaa zaidi ni kweli inawezekana HARD DRIVE iuzwe kwa hiyo hela je nifanye nini maana sitaki HARD DRIVE kubwa sana labda ingekuwa na ukubwa wa maximum nadhani ingenitosha sasa sijui wadau mnanishauri nini zaidi ni nunue mwenyewe shop hard drive nyingine nimpelekee au inakuwaje????Na mimi mgeni wa hivi vitu je maximum hard drive zinauzwa bei gani???Ok nategemea nitapata majibu mazuri...Pamoja!!