SaidAlly
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 2,328
- 2,228
- Thread starter
- #21
Haina maana kuandika halafu ushauri huutumii au hata ushukuru.
Unique
UNIQUE na wengine wote mliochangia nawashukuru sana.
Kama nilivyojibu baadhi ya maoni, tayali tumeisha muona daktari na bibie anatumia dawa kwa sasa na anaendelea vizuri nawashukuruni sana.
Kwa maoni yote niliyopata nimeyapokea na tayali nimeisha yafanyia kazi baadhi na mengine nitayatumia pale yatakapo hitajika.
Asante sana tena sana na Mungu awabariki!
.