UNIQUE na wengine wote mliochangia nawashukuru sana.
Kama nilivyojibu baadhi ya maoni, tayali tumeisha muona daktari na bibie anatumia dawa kwa sasa na anaendelea vizuri nawashukuruni sana.
Kwa maoni yote niliyopata nimeyapokea na tayali nimeisha yafanyia kazi baadhi na mengine nitayatumia pale yatakapo hitajika.
Mkwakwasu!
Asante nawe pia kwa maoni yako katika kusaidia kuondoa tatizo.
Ukisoma heading inajieleza, hatuna tatizo la kupata mtoto isipokua ana pata maumivu makali wakati wa MP.
Asante kwa mchango wako!