Naomba msaada wenu wataalamu

Naomba msaada wenu wataalamu

The golden

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
1,382
Reaction score
2,582
Hii ni Toyota Carina, usukani unakuwa mgumu halafu oil kwenye steering power unaisha maramara , huyu fundi akaniambia steering power imekufa ,nikaamua kununua nyingine tatizo liko pale pale.

Pili silencer au idle iko juu , imegoma kushuka , ukiwasha air condition , mshale wa rpm hautulii unapanda na kushuka ,huyu fundi kaniambia eti throttle body imekufa , nikaamua kununua nyingine lakini tatizo liko palepale. Naomba kwa wala wanaofahamu kuhusu matatizo haya tusadiane.
 
Ungejaribu kubadili steering reck, nafikir inaweza kuwa inachangia hata hyo silencer kutoshuka. Ushaur tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni Toyota Carina, usukani unakuwa mgumu halafu oil kwenye steering power unaisha maramara , huyu fundi akaniambia steering power imekufa ,nikaamua kununua nyingine tatizo liko pale pale.

Pili silencer au idle iko juu , imegoma kushuka , ukiwasha air condition , mshale wa rpm hautulii unapanda na kushuka ,huyu fundi kaniambia eti throttle body imekufa , nikaamua kununua nyingine lakini tatizo liko palepale. Naomba kwa wala wanaofahamu kuhusu matatizo haya tusadiane.
JituMirabaMinne
 
Ishu ya Usukani huenda haikuwa hiyo pump mliyobadili. Ila ni steering rack. Fundi ajaribu kucheck hiyo. Pia angalieni wapi kuna leak mrekebishe.

Ishu ya sailensa kama mmebadili throttle body na sailensa iko juu, basi kuna mawili.

1. Wiring ya gari ina shida. Hapa mpaka kupima nyaya.

2. IAC valve ambayo iko kwenye throttle body ilifungwa bila kusetiwa.

Kama upo Dar nicheck 0621 221 606
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom