The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,382
- 2,582
Hii ni Toyota Carina, usukani unakuwa mgumu halafu oil kwenye steering power unaisha maramara , huyu fundi akaniambia steering power imekufa ,nikaamua kununua nyingine tatizo liko pale pale.
Pili silencer au idle iko juu , imegoma kushuka , ukiwasha air condition , mshale wa rpm hautulii unapanda na kushuka ,huyu fundi kaniambia eti throttle body imekufa , nikaamua kununua nyingine lakini tatizo liko palepale. Naomba kwa wala wanaofahamu kuhusu matatizo haya tusadiane.