The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,382
- 2,582
Ungejaribu kubadili steering reck, nafikir inaweza kuwa inachangia hata hyo silencer kutoshuka. Ushaur tu.Hii ni Toyota Carina, usukani unakuwa mgumu halafu oil kwenye steering power unaisha maramara , huyu fundi akaniambia steering power imekufa ,nikaamua kununua nyingine tatizo liko pale pale.
Pili silencer au idle iko juu , imegoma kushuka , ukiwasha air condition , mshale wa rpm hautulii unapanda na kushuka ,huyu fundi kaniambia eti throttle body imekufa , nikaamua kununua nyingine lakini tatizo liko palepale. Naomba kwa wala wanaofahamu kuhusu matatizo haya tusadiane.
Asante mkuuUngejaribu kubadili steering reck, nafikir inaweza kuwa inachangia hata hyo silencer kutoshuka. Ushaur tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
JituMirabaMinneHii ni Toyota Carina, usukani unakuwa mgumu halafu oil kwenye steering power unaisha maramara , huyu fundi akaniambia steering power imekufa ,nikaamua kununua nyingine tatizo liko pale pale.
Pili silencer au idle iko juu , imegoma kushuka , ukiwasha air condition , mshale wa rpm hautulii unapanda na kushuka ,huyu fundi kaniambia eti throttle body imekufa , nikaamua kununua nyingine lakini tatizo liko palepale. Naomba kwa wala wanaofahamu kuhusu matatizo haya tusadiane.
Hii ni Toyota Carina, usukani unakuwa mgumu halafu oil kwenye steering power unaisha maramara , huyu fundi akaniambia steering power imekufa ,nikaamua kununua nyingine tatizo liko pale pale.
Pili silencer au idle iko juu , imegoma kushuka , ukiwasha air condition , mshale wa rpm hautulii unapanda na kushuka ,huyu fundi kaniambia eti throttle body imekufa , nikaamua kununua nyingine lakini tatizo liko palepale. Naomba kwa wala wanaofahamu kuhusu matatizo haya tusadiane.
Ungejaribu kubadili steering reck, nafikir inaweza kuwa inachangia hata hyo silencer kutoshuka. Ushaur tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuIshu ya Usukani huenda haikuwa hiyo pump mliyobadili. Ila ni steering rack. Fundi ajaribu kucheck hiyo. Pia angalieni wapi kuna leak mrekebishe.
Ishu ya sailensa kama mmebadili throttle body na sailensa iko juu, basi kuna mawili.
1. Wiring ya gari ina shida. Hapa mpaka kupima nyaya.
2. IAC valve ambayo iko kwenye throttle body ilifungwa bila kusetiwa.
Kama upo Dar nicheck 0621 221 606
Asante mkuuEngine ya 5A-FE ya carina, pump ya steering inaendeshwa na belt inayojitegemea. Atoe hiyo belt halafu awashe gari. Kama sailensa haitashuka then kutakuwa hakuna uhusiano.