Naomba msaada wenu:

Zungwe

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
16
Reaction score
2
Yeyote anaejua kuhusu alama zitakazohitajika kujiunga na masomo ya uwalimu kwa wale waliye maliza form iv mwaka jana 2013. naomba mnijulishe.
 
Subir ndugu yangu wizara husika huwa inatoa ntangazo na vigezo wanaviweka hivyo vuta subira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…