Zungwe Member Joined Mar 10, 2014 Posts 16 Reaction score 2 Mar 13, 2014 #1 Yeyote anaejua kuhusu alama zitakazohitajika kujiunga na masomo ya uwalimu kwa wale waliye maliza form iv mwaka jana 2013. naomba mnijulishe.
Yeyote anaejua kuhusu alama zitakazohitajika kujiunga na masomo ya uwalimu kwa wale waliye maliza form iv mwaka jana 2013. naomba mnijulishe.
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Mar 13, 2014 #2 Subir ndugu yangu wizara husika huwa inatoa ntangazo na vigezo wanaviweka hivyo vuta subira
Zungwe Member Joined Mar 10, 2014 Posts 16 Reaction score 2 Mar 13, 2014 Thread starter #3 irumba1 said: Subir ndugu yangu wizara husika huwa inatoa ntangazo na vigezo wanaviweka hivyo vuta subira Click to expand... Asante sana ndugu kwa ufafanuzi wako mzuri.
irumba1 said: Subir ndugu yangu wizara husika huwa inatoa ntangazo na vigezo wanaviweka hivyo vuta subira Click to expand... Asante sana ndugu kwa ufafanuzi wako mzuri.