Habari zenu wapendwa, naomba mnisaidie orodha ya vyakula na matunda ambayo nikitumia naweza pata calcium na vitamin D kwa wingi ili niimarishe afya yangu, mimi ni mja mzito na ni miezi mitatu sasa tangu nibebe mimba lakini nimekutwa na tatizo la magoti kupiga kelele wakati nainuka nisaidieni jamani nijiwahi mapema najua na hatari kwangu na kwa mtoto wangu pia.