Naomba msaada wenu

Naomba msaada wenu

amina ali

Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
52
Reaction score
11
Habari zenu wapendwa, naomba mnisaidie orodha ya vyakula na matunda ambayo nikitumia naweza pata calcium na vitamin D kwa wingi ili niimarishe afya yangu, mimi ni mja mzito na ni miezi mitatu sasa tangu nibebe mimba lakini nimekutwa na tatizo la magoti kupiga kelele wakati nainuka nisaidieni jamani nijiwahi mapema najua na hatari kwangu na kwa mtoto wangu pia.
 
Hongera mama, wish u upate baby boy. Subiri madokta wanakuja
 
Magoti kutoa snap sound yakikunjwa au kukunjuliwa is normal na hauhusiani na upungufu wa madini, inategemea hiyo milio ni mikubwa kiasi gani na kama inaambatana na maumivu,, na ungekuwa na maumiv ungeshasema,, . Uko poa mama lea kijacho, hudhuria na fata ushauri wa clinic
 
shukran saaana
 
Back
Top Bottom