Hongera mama, wish u upate baby boy. Subiri madokta wanakuja
Uko wapi nikuunganishe na mjasiriamali fulani mimi alinisaidia mno.
Magoti kutoa snap sound yakikunjwa au kukunjuliwa is normal na hauhusiani na upungufu wa madini, inategemea hiyo milio ni mikubwa kiasi gani na kama inaambatana na maumivu,, na ungekuwa na maumiv ungeshasema,, . Uko poa mama lea kijacho, hudhuria na fata ushauri wa clinic