Naomba msaada wenu

Naomba msaada wenu

selwyn

New Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Ninamtaji wa mil.5 nataka fungua biadhara ya kuuza nywele za kina dada naomba ushauri wenu nataka nifungulie dodoma
 
mkuu nakupongeza kwa hatua uliyofikia ila kwa nini husifungue cosmetics, yaani duka la bidhaa za vipodozi kwa ujumla!
 
Back
Top Bottom