Naomba msaada wenye utaalamu wa ipad

Naomba msaada wenye utaalamu wa ipad

vyuku

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
503
Reaction score
86
Jamani mtu mwenye utaalamu na IPAD au SAMSUNG PAD ambayo ndio nzuri na ya kisasa ziwe na nini na nini ili iwe latest? Na je zinafika bei gani kwa hapa tz??
Naomba mnisaidie wenzangu.
 
Back
Top Bottom