Chapakazi JF-Expert Member Joined Apr 19, 2009 Posts 2,874 Reaction score 316 Jan 24, 2011 #1 Naomba mtu yeyote mwenye soft copy ya Income Tax Act 1973 kama anaweza kui-upload hapa. Au mtu mwenye link yeyote iliyo na hii Act. Natangulia shukrani.
Naomba mtu yeyote mwenye soft copy ya Income Tax Act 1973 kama anaweza kui-upload hapa. Au mtu mwenye link yeyote iliyo na hii Act. Natangulia shukrani.
Chapakazi JF-Expert Member Joined Apr 19, 2009 Posts 2,874 Reaction score 316 Jan 26, 2011 Thread starter #2 common people...hamna mwenye hii kitu?
C ChiefmTz JF-Expert Member Joined Apr 15, 2008 Posts 2,937 Reaction score 942 Jan 26, 2011 #3 Mbona ITA ya 1973 ilishakuwa repealed n replaced na ITA ya 2004? Au bado unahitaji hiyox2 ya 1973?
Chapakazi JF-Expert Member Joined Apr 19, 2009 Posts 2,874 Reaction score 316 Jan 26, 2011 Thread starter #4 ChiefmTz said: Mbona ITA ya 1973 ilishakuwa repealed n replaced na ITA ya 2004? Au bado unahitaji hiyox2 ya 1973? Click to expand... i know mkuu...lakini ninachoangalia kinagusa hiyo ya 73. Na inavyoelekea huo mkataba haujarekebishwa kuendana na hii mpya! Kwenye website ya TRA sijaona email address ya inqueries. Unaweza kuwa nayo?
ChiefmTz said: Mbona ITA ya 1973 ilishakuwa repealed n replaced na ITA ya 2004? Au bado unahitaji hiyox2 ya 1973? Click to expand... i know mkuu...lakini ninachoangalia kinagusa hiyo ya 73. Na inavyoelekea huo mkataba haujarekebishwa kuendana na hii mpya! Kwenye website ya TRA sijaona email address ya inqueries. Unaweza kuwa nayo?