Naomba msaada

Naomba msaada

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Posts
2,874
Reaction score
316
Naomba mtu yeyote mwenye soft copy ya Income Tax Act 1973 kama anaweza kui-upload hapa. Au mtu mwenye link yeyote iliyo na hii Act.

Natangulia shukrani.
 
common people...hamna mwenye hii kitu?
 
Mbona ITA ya 1973 ilishakuwa repealed n replaced na ITA ya 2004? Au bado unahitaji hiyox2 ya 1973?
 
Mbona ITA ya 1973 ilishakuwa repealed n replaced na ITA ya 2004? Au bado unahitaji hiyox2 ya 1973?

i know mkuu...lakini ninachoangalia kinagusa hiyo ya 73. Na inavyoelekea huo mkataba haujarekebishwa kuendana na hii mpya! Kwenye website ya TRA sijaona email address ya inqueries. Unaweza kuwa nayo?
 
Back
Top Bottom