Naomba msaada

Naomba msaada

Chimunu

Senior Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
159
Reaction score
25
Mimi ni kijana Mwenye umri wa miaka 25 nnasumbuliwa na tatizo LA kupoteza hamu ya kufanya mapenzi pia Kama nikifanya Mara moja siwezi kurudia kabisa tendo ni miaka mitatu nimehangaika lakin sijapona nikitumia dawa nnajua vizur dozi ikiisha inajirudia naombeni msaada nifanyeje nn ili kupata unafuu WA khali hii mana sifaidi tendo naweza himili kwa dakika 5 tuu.
 
Back
Top Bottom