Naomba Msaada

Naomba Msaada

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Tatizo la kufanya kuvimba upande mmoja wa sehemu ya chini ya kichwa cha uume baada kumaliza tendo yani kukojoa kwa muda wa madakika kadhaa alafu ndio hali hurudi linaweza kutokana nanini?

Limekua likinitokezea mara kwa mara
 
joseverest umekuwa mzembe na hii siti namba 1?? ngoja wataalam waje mkuu pole sana
 
Tatizo la kufanya kuvimba upande mmoja wa sehemu ya chini ya kichwa cha uume baada kumaliza tendo yani kukojoa kwa muda wa madakika kadhaa alafu ndio hali hurudi linaweza kutokana nanini?

Limekua likinitokezea mara kwa mara
Inaonekana wewe una nyota ya DOG
 
Tatizo la kufanya kuvimba upande mmoja wa sehemu ya chini ya kichwa cha uume baada kumaliza tendo yani kukojoa kwa muda wa madakika kadhaa alafu ndio hali hurudi linaweza kutokana nanini?

Limekua likinitokezea mara kwa mara
sijakuelewa chief,
hebu weka vizuri swali lako
 
sijakuelewa chief,
hebu weka vizuri swali lako

Pindi tu ninapomaliza kukojoa wakati wa tendo, uume hafaya kuvimba maeneo ya chini ya kichwa upande mmoja, namvimbe huo hudumu ata kwa mda wa nusu saa hal hurudi katika hali.
Tatizo limekua likitokea mara kwamara
 
uvimbe unakua na muonekano gani...kma kipele cha muwasho au jipu?

kuna maumivu huwa unayahisi pindi inapotokea hiyo hali?
 
Miller maelezo tu,hayatoshelezi awe anapiga Picha pindi inapotokea [emoji6][emoji3].

Hiyo hali imeanza tokea uanze Ngono? Au ni hivi karibuni?
Na je umeanza kutumia kitu kipya apacho hukuwahi kukitumia huko nyuma?
 
Nimejigundua kama mwaka wa pili sasa, Lakini mwanzo ilikua inatokea mara chache inaweza pita miezi ndio ikaja, ila kila siku zinavokwenda inazidi kujitokeza mara kwa mara.
 
yes, kama angeweza kupiga picha vizuri uonekane huo uvimbe tu ingekuwa vizuri ili asiharibu sheria za forum!
 
Nimejigundua kama mwaka wa pili sasa, Lakini mwanzo ilikua inatokea mara chache inaweza pita miezi ndio ikaja, ila kila siku zinavokwenda inazidi kujitokeza mara kwa mara.
Kwa maelezo yako siwezi kukupa jibu kamili lenye kujitosheleza, inawezekana Kuna tatizo kwenye mishipa ya damu, na kwamba damu inajikusanya hapo wakati wa tendo na huchukua muda kurudi Kama sehemu nyingine baada ya tendo sababu mshipa umeziba....

Au una tumia sana nguvu kwenye tendo...
Au ulikuwa mtu wa Punyeto sana, ukaadhiri hiyo mishipa inayopeleka damu.

Ningekushauri uende ukaonane na Mtaalam ikiwezekana jipige picha Kama ushahidi,maana itakuwa ngumu kuonyesha Mubashara.

Pole sana na Kila la kheri
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom