kachukue gari lako, kunamjeshi mmoja alikuwa anasoma nje ya nchi akawa
anamtumia mkwewe hela ajenge yeye akihangaika kusafisha vyoo na kubeba box
mda wa jioni huku mkewe akipeleka hele kanisan kwa mzee wetu wa kigoma pale mwenge opp na mliman city
mjeshi aliporudi akashangaa hajakuta kitu kambana mkewe akakiri, aliwenda kwa askofu akiwa na mkewe
akamwambia askofu arudishe kila kitu askofu ndani ya saa 24 vyote vilirudi yule bwana kampiga stop mkewe kwenda.askofu aliulizwa mkewe ni mwl hakushangaa analetewa zaka milioni kumi bila kuhoji zimetoka wapi.
aisee hawa jamaa wana lugha zao unaweza kujikut aunauza nyumba na kuwakabidhi.