Naomba msaada.

Naomba msaada.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Kwenye miaka ya 80 na 90 nilikuwa nabugia kilaji sawasawa tena bia kama Safari ilikuwa haifai kwangu mbele ya Kibo, Lion, Uhuru, Serengeti, Castle na ze Kick.
Hivi karibuni bia hizo zinanikataa sio kabisa ila hujisikia vibaya nikiamka asubuhi ila Safari nikiinywa hainisumbi sana, tatizo nakunywa mbili tu na kurejea nyumbani salama kabisa ila kesho yake nakuwa hovyo hovyo. Sijui ni nini!
 
Back
Top Bottom