Mkuu naomba msaada kufahamishwa, Mpenzi wangu nikifanyanae mapenzi anaumia sana kwa ndani karibu na kitovu! Pamoja na kumuandaa kwa kumnyonya na kuhakikisha za mwanzo zimetoka lakini bado anaumia! Kwa mwenye utaalamu wa hilo naomba msaada jamani nifanyeje?.