Omari Issa
Senior Member
- Jul 26, 2012
- 168
- 45
Kwa majina naitwa ISSA O ISSA nina imani wapo niliosoma nao humu ndani na wapo tunaofahamiana kwa namna moja ama nyingine
Kimsingi lengo la kuanzisha thread ni kuomba msaada kwa wadau wote wa masuala ya elimu watakaoguswa!!
Mimi ni mwanafunzi niliyechaguliwa kujiunga na masomo chuo kikuu UDOM nikiwa nimebahatika kunufaika na mkopo (kiasi) wa HESLB
katika msimu uliopita wa masomo (first year) wengi tulibahatika kupata pesa ya kukamilisha usajili kutokana na kushiriki zoezi la SENSA kabla hata ya mkopo kutoka Heslb.
lakini kwa mwaka huu mambo ni magumu ndugu zangu
binafsi natakiwa kulipa 464000 kwa ajili ya kusajiliwa kuendelea na masomo (second year) ambapo kutokana na sheria na taratibu za chuo hakuna mtu ambaye atasajiliwa na kupata mkopo wake kabla ya kulipa hela hizi:
OMBI LANGU; kama umeguswa na hili naomba
1.Kama wewe ni mwanafunzi UDOM nipo tayar tuingie mkataba unikopeshe
2.Kama wewe ni msamaria mwema namba zangu za simu kwa mawasiliano zaidi ni;
-0655 889 646
-0763 832 689