Naomba msaada

Naomba msaada

Omari Issa

Senior Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
168
Reaction score
45
Kwa majina naitwa ISSA O ISSA nina imani wapo niliosoma nao humu ndani na wapo tunaofahamiana kwa namna moja ama nyingine
Kimsingi lengo la kuanzisha thread ni kuomba msaada kwa wadau wote wa masuala ya elimu watakaoguswa!!
Mimi ni mwanafunzi niliyechaguliwa kujiunga na masomo chuo kikuu UDOM nikiwa nimebahatika kunufaika na mkopo (kiasi) wa HESLB
katika msimu uliopita wa masomo (first year) wengi tulibahatika kupata pesa ya kukamilisha usajili kutokana na kushiriki zoezi la SENSA kabla hata ya mkopo kutoka Heslb.
lakini kwa mwaka huu mambo ni magumu ndugu zangu
binafsi natakiwa kulipa 464000 kwa ajili ya kusajiliwa kuendelea na masomo (second year) ambapo kutokana na sheria na taratibu za chuo hakuna mtu ambaye atasajiliwa na kupata mkopo wake kabla ya kulipa hela hizi:
OMBI LANGU; kama umeguswa na hili naomba
1.Kama wewe ni mwanafunzi UDOM nipo tayar tuingie mkataba unikopeshe
2.Kama wewe ni msamaria mwema namba zangu za simu kwa mawasiliano zaidi ni;
-0655 889 646
-0763 832 689
 
Pole sana mkuu,
Nakushauri uende chuoni na kuconsult uongozi (i.e Registral) kwamba unashindwa kujisajili kwa sababu ya ukosefu wa fedha na umueleze kuwa wewe ni mnufaika wa mkopo kutoka HESLB,then uombe kupewa provisional registration then hiyo fedha waikate katika mkopo wako ukifika.

Nimeshuhudia watu wengi wakisoma kwa mtindo huo chuoni kwetu na wanakubaliwa.
 
Nashukuru sana kwa mchango wako ila ngoja niulizie utaratibu huu kama waweza tumika hapa chuoni kwetu
 
Nashukuru sana kwa mchango wako ila ngoja niulizie utaratibu huu kama waweza tumika hapa chuoni kwetu

al) kwamba unashindwa kujisajili kwa sababu ya ukosefu wa fedha na umueleze kuwa wewe ni mnufaika wa mkopo kutoka HESLB,then uombe kupewa provisional registration then hiyo fedha waikate katika mkopo wako ukifika.

Nimeshuhudia watu wengi wakisoma kwa mtindo huo chuoni kwetu na wanakubaliwa.[/QUO

Umemshauri vizuri sana,au aende kwa Dean of Students amueleze shida yake.Dean of Students yupo kwa ajili ya Kuwashauri na Kuwasaidia Wanafunzi,nimesema hilo kwa Sababu kwa Hali ya Sasa watu ni Wagumu wa Kusaidia hasa linapokuja suala la Pesa,ila ni Wepesi sana katika masuala ya Anasa kama Fiesta,Club na kwingineko we Mwenyewe si unaona Response ya Watu kukusaidia toka Umeweka hii Thread ilivyo ndogo? mimi Sina Pesa kwa Sasa ningekusaidia Ndg Yangu. Pole sana. Pia Mshirikishe sana Mungu katika Hili.
 
Kwa majina naitwa ISSA O ISSA nina imani wapo niliosoma nao humu ndani na wapo tunaofahamiana kwa namna moja ama nyingine
Kimsingi lengo la kuanzisha thread ni kuomba msaada kwa wadau wote wa masuala ya elimu watakaoguswa!!
Mimi ni mwanafunzi niliyechaguliwa kujiunga na masomo chuo kikuu UDOM nikiwa nimebahatika kunufaika na mkopo (kiasi) wa HESLB
katika msimu uliopita wa masomo (first year) wengi tulibahatika kupata pesa ya kukamilisha usajili kutokana na kushiriki zoezi la SENSA kabla hata ya mkopo kutoka Heslb.
lakini kwa mwaka huu mambo ni magumu ndugu zangu
binafsi natakiwa kulipa 464000 kwa ajili ya kusajiliwa kuendelea na masomo (second year) ambapo kutokana na sheria na taratibu za chuo hakuna mtu ambaye atasajiliwa na kupata mkopo wake kabla ya kulipa hela hizi:
OMBI LANGU; kama umeguswa na hili naomba
1.Kama wewe ni mwanafunzi UDOM nipo tayar tuingie mkataba unikopeshe kwa riba yoyote
2.Kama wewe ni msamaria mwema namba zangu za simu kwa mawasiliano zaidi ni;
-0655 889 646
-0763 832 689

Pole sana kijana.
Ushauri wangu,jaribu kupitisha bakuri kwa Wadau hata nje ya Chuo.
Mfano.
Kwenye Makampuni na Watu wa fani unayosomea .
Ikiwezekana mtafute Mbunge wa jimbo lako hapo mjengoni kwa namna moja au nyingine naamini anaweza kukusaidia.
cc
Hamis Feruz
Martin Msigwa
Mpemba
Meshack.

Ukiweza ni Pm, kwa ushauri zaidi.
 
nashukuru nitajaribu kufanya hivyo na nitarudisha feedback humu ndan endapo nitafanikiwa
 
Back
Top Bottom