Naomba msaada

Naomba msaada

marunguBoy

New Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Nawasalimu wote jamanii.

Jamani me ninatatizo kila ninapofanya mapenzi huwa namwaga faster sana yani ndani ya dakika ishirini nakuwa nishaenda ata tatu kabisa, yani najiona nipo tofauti sana wandugu naombeni ushauri kama kuna anayejua kwaini inakuwa hivi.

Japo naweza kwende hata 6 lakini unakuta ni ndani ya nusu saa nimeenda zote aisee.

Kweli naona hata noma kuvaa kondom coz itakuwa usumbufu. Plz jamani this is serious naombe ushauri kama ni chakula flani au ni nini.

Ahsante
 
OR7 ni wasichana tuu kaka tofauti ndo maana nikahisi tatizo so kwa gal mmoja
 
Na machalii zangu wengine. Kma jamaangu flani ameingia na mazi ake wakakaa kma masaa 6 af jamaa ananikuja tuambia ameenda bao nne tuu. Asa naashangaa mm inakiwaje. Ndo maana nimeweka hiipost mmnashauri
 
Huh, wonders shall never end..
 
Natumaini na mwenza nae anahesabu namba hizo kama wewe
 
Back
Top Bottom