chankele kigoma
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 199
- 121
mkuu kama options zote zimetumika kupunguza tatizo na imeshindikana itabidi afanyiwe surgery hiyo ndio huwa option ya mwisho ku treat cysts... tena kwa ukubwa inaonekana ni follicular cysts mkuu pole sana na kila la kheriMke wangu amepimwa amkutwa na uvimbe kwenye Ovary ya kulia dokta anasema inabidi afanyiwe surgery
Kwa wale wenye utaalam na hili swala naomba msada wenu hivi hakuna dawa anazoweza kutumia uvimbe huo uka yeyuka? Pasipo kufanyiwa upasuaji
Angalia usimwingize chaka mwenzio...Kuna Dawa zipo
Ni pm nikupe namba ya mama flan akuelekeze aliponea hospitali ipi
invest what you are willing to lose
Asante mkuumkuu kama options zote zimetumika kupunguza tatizo na imeshindikana itabidi afanyiwe surgery hiyo ndio huwa option ya mwisho ku treat cysts... tena kwa ukubwa inaonekana ni follicular cysts mkuu pole sana na kila la kheri
Mke wangu amepimwa amkutwa na uvimbe kwenye Ovary ya kulia dokta anasema inabidi afanyiwe surgery
Kwa wale wenye utaalam na hili swala naomba msada wenu hivi hakuna dawa anazoweza kutumia uvimbe huo uka yeyuka? Pasipo kufanyiwa upasuaji
aribu kuwasiliana na huyo daktari ugusie injection za hizo hormone mkuu uone atakuja na option gani?Asante mkuu
Imani ninayo unajuwa utalam umezidiana hivo nimeamua kuwashirikisha kwakuwa najuwa humu kunaweza patikana mjuzi zaidiMkuu nakushauri fuata ushauri wa daktari... kungekuwa na option nyingine daktari angekuambia...
Huna imani naye?