Naomba msada kwa hili yamenifika mie

Naomba msada kwa hili yamenifika mie

chankele kigoma

Senior Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
199
Reaction score
121
Mke wangu amepimwa amkutwa na uvimbe kwenye Ovary ya kulia dokta anasema inabidi afanyiwe surgery

Kwa wale wenye utaalam na hili swala naomba msada wenu hivi hakuna dawa anazoweza kutumia uvimbe huo uka yeyuka? Pasipo kufanyiwa upasuaji
b9a2a704659fe58b9903ab9f80f08c48.jpg
 
Kuna Dawa zipo
Ni pm nikupe namba ya mama flan akuelekeze aliponea hospitali ipi

invest what you are willing to lose
 
Mke wangu amepimwa amkutwa na uvimbe kwenye Ovary ya kulia dokta anasema inabidi afanyiwe surgery

Kwa wale wenye utaalam na hili swala naomba msada wenu hivi hakuna dawa anazoweza kutumia uvimbe huo uka yeyuka? Pasipo kufanyiwa upasuaji
b9a2a704659fe58b9903ab9f80f08c48.jpg
mkuu kama options zote zimetumika kupunguza tatizo na imeshindikana itabidi afanyiwe surgery hiyo ndio huwa option ya mwisho ku treat cysts... tena kwa ukubwa inaonekana ni follicular cysts mkuu pole sana na kila la kheri
 
kama matumizi ya Hormone kama Human chorionic gonadotrophin na GnRH zimeshindikana basi itabidi surgical operation ihusike mkuu
 
Mke wangu amepimwa amkutwa na uvimbe kwenye Ovary ya kulia dokta anasema inabidi afanyiwe surgery

Kwa wale wenye utaalam na hili swala naomba msada wenu hivi hakuna dawa anazoweza kutumia uvimbe huo uka yeyuka? Pasipo kufanyiwa upasuaji
b9a2a704659fe58b9903ab9f80f08c48.jpg

Mkuu nakushauri fuata ushauri wa daktari... kungekuwa na option nyingine daktari angekuambia...

Huna imani naye?
 
Mkuu nakushauri fuata ushauri wa daktari... kungekuwa na option nyingine daktari angekuambia...

Huna imani naye?
Imani ninayo unajuwa utalam umezidiana hivo nimeamua kuwashirikisha kwakuwa najuwa humu kunaweza patikana mjuzi zaidi

Nashukuru mkuu
 
Mkuu mm sio mtaalam sana ila ni vizuri kufata ushauri wa Dr. Inasemekana matibabu yategemea na nature ya huo uvimbe kuna uvimbe ambao unaweza kuisha wenyewe kupitia menstruation na uvimbe mwingine mtu anatumia dawa tu au surgery

[emoji745]%
 
Back
Top Bottom