Naomba msada Kwa ugonjwa huu

fkawogo

Senior Member
Joined
May 30, 2013
Posts
131
Reaction score
37
Nina shamba la migomba lkn ghafla nimeshangaa kuona mgomba mmoja uko tofauti Kwa ukuaji Na majani ya nimefatilia ktk mitandao nikaona Wana sema ugonjwa huo unaitwa (banana bunchy top disease) Sasa sijaelewa vizuri namna ya kuutibu naombeni msaada wenu wanajukwaa

 
Safi sana haya ndio mambo ya msingi yalioaswa kuwepo hapa JF. Namimi nasubiri majibu ya wataalamu.
 
Nataka kuwa_tag madaktari wa mimea hila siwafahamu humu jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…