MWINUKAOSCAR
Member
- Jun 1, 2012
- 40
- 1
Nilikuwa na kesi mahakama ya mwanzo...mtuhumiwa alihukumiwa kulipa fedha alizoiba ndani ya siku 30. Yani kutoka tar 31/01/2019 hadi mnamo tr 3 mwezi wa tatu...swali langu je asipotekeleza hilo nn huwa kinafuata? Na je nini matokeo ya mlalamikaji? Pia nfanye maandalizi gani kabla kuisha kwa muda aliopangiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app