James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,205
- 1,509
Umeongea vizuri lakini kumbuka rais aliyepita alijipunguzia mwenyewe akiwa madarakani. Kwa mfano tunapata rais bilionea akajipunguzia mshahara, je hii ni haki kwa rais ajaye? Kumbuka nimesema kuwa nafikiri Magufuli alikuwa hahitaji pesa za mshahara.sheria nzuri za mishahara ni kuwa hutakiwa kupangwa kabla mtu hajaingia kwenye kiti. Najua wakati mshahara wa rais wa marekani ulipoandishwa kutoka dola laki mbili kuwa laki nne ilikuwa ni wakati wa rais clintoni, lakini yeye aliendelea na ule mshahara wa laki mbili hadi Bush alipoingia ndipo akaanza kupokea laki nne...
Wewe utakuwa Mwalimu wa Fasihi!Uhhh kuna wakati unatakiwa kuwa na sikio bora lenye kusikiliza zaidi kuliko kuwa na mdomo wenye uhodari wa kuzungumza sana
Watu wa namna hiyo mawazo yao huwa yanatikea kwa nyuma na sio mbele,Unaacha kufikiria vitu vya maana unafikiria mshahara wa mtu ambaye hajakuomba hata pesa ya vocha, wakati kuna wastaafu wanadai mafao yao, kuna watumishi wa umma hawajaongezewa mishahara, kuna vijana tele hawana ajira, upatikanaji wa umeme tu umekua tatizo tunakatiwa kila muda tena bila taarifa, n.k,
Halafu unakuja kupandisha mabega hapa, "Naomba mshahara wa Rais upandishwe kama zamani"
Ohhh hapanaWewe utakuwa Mwalimu wa Fasihi!
Another imbecile, Pima akili yako,Kwanza napenda kumpongeza mama yetu mpendwa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya.
Kitu kingine ningeomba sana mshahara wa Rais upandishwe tena uwe angalau kama enzi ya Rais Kikwete.
Magufuli alijishushia mshahara lakini lazima tujiulize, je alikuwa anauhutaji? Kwa kuanza tu mpwa wake ndiye aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha.
Pili, kampuni ya Mayanga Construction ni ya mtu ambaye alioa naye nyumba moja na ndiyo iliyopewa tenda ya kujenga uwanja wa ndege wa Chato. Lazima pia ikumbukwe zabuni ya hiyo tenda haikutangazwa kwenye vyombo vya habari na wala pesa ya mradi kuidhinishwa na bunge.
Kwa mfano tunapata Rais bilionea akajipunguzia mshahara, je hii ni haki kwa Rais ajaye? Kumbuka kwamba nimesema kuwa nafikiri Magufuli alikuwa hahitaji pesa za mshahara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] white savior mentality.
Aisee Mara ya mwisho ulionana na daktari lini? Nashauri ukalime akili yako, it possible una fuvu la fisi. Haitaji mshahara, kila kitu ni bure kwake all pay Inala tu benki plus maruprupu ya mikatabs. Ana mabillioni wewe kuku.Mshahara haujawahi kupunguzwa, ni yeye alitamka kizalendo mshahara wake ukatwe (kama ni kweli ulikatwa) ila hakusema ndo mshahara wa Rais.
Ni kama Donald Trump alivyosema atachukua mshahara $1 (sina uhakika) kwa mwaka.
Ni yeye binafsi.
Aisee Mara ya mwisho ulionana na daktari lini? Nashauri ukalime akili yako, it possible una fuvu la fisi. Haitaji mshahara, kila kitu ni bure kwake all pay Inala tu benki plus maruprupu ya mikatabs. Ana mabillioni wewe kuku.