mshahara wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Naomba mshahara wa Rais uwalipe wajumbe wa tume ya Chande maana ripoti ni yake, na kwa Nini mmeirusha hewani?

    CAG natarajia ripoti ijayo utwambie fedha zilizotumika kulipa hii tume ni Kodi zetu au ni fedha za Rais Samia binafsi? Tafadhali kama ni Kodi zetu tume itupe ripoti kama alilipa kwa fedha zake binafsi mpeni hiyo ripoti akae nayo ndani mwake na akitoka madarakani aondoke nayo.
  2. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Rais anapata wapi mabilioni ya kugawa kama njugu?

    Nashangaa sana na inashangaza sana Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!! Rais Samia kwa jina lake na pesa yake binafsi amegawa pikipiki 18,200 zenye nembo yake ambazo thamani yake ni TZS 54 bilioni. Kwa...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mshahara wa Rais ni Milioni 9 kama alivyowahi kutuambia Hayati Magufuli?

    Enzi ya uhai wake, hayati Magufuli aliwahi kutuambia kuwa analipwa shilingi milioni 9 kwa mwezi na akirudi toka mapumzikoni Chato atatuonyesha hati yake ya mshahara (salary slip). Bahati mbaya mpaka anaingia kaburini hakuwahi kutuonyesha hiyo salary slip yake. Je, ni kweli mshahara wa Rais ni...
  4. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania

    Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania. Kuna ukweli hapa?
  5. James Martin

    JamiiForums Tanzania Naomba mshahara wa Rais upandishwe uwe kama zamani

    Kwanza napenda kumpongeza mama yetu mpendwa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya. Kitu kingine ningeomba sana mshahara wa Rais upandishwe tena uwe angalau kama enzi ya Rais Kikwete. Magufuli alijishushia mshahara lakini lazima tujiulize, je alikuwa anauhutaji? Kwa kuanza tu...
  6. Dumelang

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

    Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato. Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na gazeti la nipashe kuwa Zitto na...
Back
Top Bottom