Naomba mshahara wa Rais uwalipe wajumbe wa tume ya Chande maana ripoti ni yake, na kwa Nini mmeirusha hewani?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
CAG natarajia ripoti ijayo utwambie fedha zilizotumika kulipa hii tume ni Kodi zetu au ni fedha za Rais Samia binafsi?

Tafadhali kama ni Kodi zetu tume itupe ripoti kama alilipa kwa fedha zake binafsi mpeni hiyo ripoti akae nayo ndani mwake na akitoka madarakani aondoke nayo.
 
Fedha za Samia, anawapenda Sana.
 
Hivi kulikuwa na umuhimu gani kwa huyo mama kutamka hayo maneno, ili iweje labda??
Kweli tuna rais umeme mdogo sana!
 
Back
Top Bottom