Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,252
Habari yako mshana Jr
Awali ya yote napenda niseme wazi kuwa JamiiForums imekuwa ni sehemu pekee ambayo nimekuwa nikifarijika sana hasa ninapokutana na ma-star kama akina mshana jr , GuDume , Demiss , MBITIYAZA , The bold hali kadhalika Maxence Melo ambaye ndo engineer mwenyewe!
Lengo la huu uzi ni kuwa mara kwa mara nimekuwa nikivutiwa sana na mada za mshana jr lakini nimefurahi sana pale niliposikia akisema kuwa amestaafu na sasa ni mlokole mashuhuri tena ambaye hataki tena mambo ya ulozi.
Ombi langu ni kuwa sasa kama mshana Jr unastaafu basi naomba uanze kunikaimisha taratibu hiki cheo chako kwani Mimi binafsi nimeishi pia kule makao makuu ya wachawi Tanzania aka Gamboshi.
Nakuomba sasa rasmi unipe hiki cheo cha kuwa mlozi/mlosi/nogi.
Naomba kuwasilisha.