Naomba Mtu Anayefahamu Kuboost Faceook Page

mwanafasafajo

Member
Joined
Jun 18, 2019
Posts
11
Reaction score
0
Habarini ndugu,naomba kama MTU anafahamu kuboost Facebook page maana nilikwenda benki wakaniambia niingize security code lakini ile nilikuwa na code 10 wakati ile sehemu ya kuboost zinahitajika nne.Naomba nisadieni hili nahitaji sana,nifanyeje ukiwa benki walishanipa security
 
nisaidie ni mawazo mazuri
 
Back
Top Bottom