Chimala MkuuMbeya kubwa
4M kwa shughuli zoteInagharimu kiasi gani cha fedha
4M KILA MMOJA AU4M kwa shughuli zote
Na kwa makadirio tutapata faida kiasi kama tuliuza alizeti ghafi, faida ni 2.8M. Kama tukikamua na kuuza mafuta, faida ni 3.4M
Tunachangia pa1Kodisha tu hilo shamba sio kusubiri mtu aje na pesa yake alime agharamie vyote kisha mgawane pasu kwa pasu
Hiyo hela uliyonayo anza na project nusu mkuu, kila la kheriTunachangia pa1
Hahhahah!Kodisha shamba.. Mkuu hakuna tajiri mjinga.. Mtu akuzidi pesa halafu umzidi akili?!!! Hiyo haipo..