Naomba mtu wa kuunganisha nae nguvu kufanya kilimo alizeti

Naomba mtu wa kuunganisha nae nguvu kufanya kilimo alizeti

Kodisha ekari 12 hela uliyopata kukodisha tumia kulima hizo ekari 3, mwakani utakodisha ekari 10 wewe utalima 5, nenda kwa mfumo huo mpaka utakapoweza kulima hekari zako zote. akili ni nywele Kila mtu ana zake hiyo partnership unayoitaka itakugharimu
 
Back
Top Bottom