Naomba mtuambie tunaoishi kwa Mpalange tumewakosea nini?

Naomba mtuambie tunaoishi kwa Mpalange tumewakosea nini?

Sasa hivi Hilo jina la kwa mparange ni gumu Sana kutamkika mbele za watu[emoji3][emoji3]maana Kuna dada mmoja kwenye dalala alikuwa anaongea na mtu kwenye simu akasikika anasema "unapenda kwa mparange" watu kwenye daladala walimshangaa hatari
 
Kosa lenu ni jina la sehemu mnayoishi kutumika vibaya na baadhi ya watu, Yombo Kwa Mpalange kumekaa kinyume nyume kwa baadhi ya watu na kuamua kulitumia neno Kwa Mpalange kumaanisha Nyuma.
Naamini umenielewa!!
 
Endelea kuishi huko huko mbona ni kuzuri tu
 
Ishu sio kwa mpalange tatizo lipo kwenye Ile njia unayoelekea kwa mpalange....mbunge akipita tutamuomba atuwekee lami maana tope la pale mvua ikinyesha inaakisi kabisa na kipenyo Cha mstatili
DA kumbe ndiyo maana imetokea hapo? njia ya kuelekea kwa mpalange ina topeee???
 
Back
Top Bottom