Naomba mtuambie tunaoishi kwa Mpalange tumewakosea nini?

Naomba mtuambie tunaoishi kwa Mpalange tumewakosea nini?

Nilipita sku1 nikakuta wanauza chips kama wanavyouza mihogo..yaan chips za kupima.za 200,..300.. 500 etc..nilishangaa sana
 
Wakati Tigo inaandamwa tulikaa kimya tukadhani hayatatukumba. Sasa imehamia kwetu. Tuliambiwa 'wakimaliza na sisi watahamia kwenu' tukadharau!...........ndio matokeo yake haya. Ilibidi kuinuka na kupiga kelele kipindi tigo inahusishwa tukawaachia wenyewe tigo, haya sasa yamehamia kwetu kwa Mpalange
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeh san
 
Ukiwa kwenye daladala za kwenda BUZA kwanza sura za humo shida tupu kuna sura za kazi full bangi, vidada vyembamba vimeshirikia madera yaani vinauza papuchi karibu vyote vinapima utamu hadi wa mia saba vikanunu miguu ya kuku[emoji23][emoji23][emoji23], BUZA hapana aisee.
 
Back
Top Bottom