tajiri wa baadae
Member
- Sep 9, 2024
- 28
- 24
- Thread starter
- #21
Kwenye usaili wa polisi mwaka jana awakuzingatia urefu kwenye usaili, labda iwe mwaka huuDuh na hiki kimochangu sijui itakuaje polisi
Kwenye usaili wa polisi mwaka jana awakuzingatia urefu kwenye usaili, labda iwe mwaka huuDuh na hiki kimochangu sijui itakuaje polisi
Ukopangwa kundi la watu 10 wenye mbio sana kimekulamba" Tuliripoti uwanjani mapema, tukakaguliwa na kupata maelekezo.
Kisha zikafuata taratibu za kawaida, kuitwa majina, kupimwa urefu, afya n.k.
Tukafanya mazoezi halafu tukaenda uwanjani tukapangwa makundi ya watu kumi kumi.
Tukakimbia mbio za mita mia Moja
Katika mbio za mita mia moja wakachukuliwa wa kwanza, wapili na watatu.
Ikafanyika sorting wale waliopita wakae huku wengine huko ingawa Kuna wengine waliokuwa wameshika nafasi nne na tano au sita walichukuliwa, sijui walitumia vigezo gani?
Kuna wengine hawakukimbia kabisa ila walikuwepo upande wa walioshinda.
Mimi nilikuwa namba nne ndio ukawa mwisho wangu wa usahili.
Tulikuwa kama watu elfu Moja hivi. "
Mwisho wa kunukuu.
Na kuna raia wanakimbia kama chui.Ukopangwa kundi la watu 10 wenye mbio sana kimekulamba
Unakuta bogi lako umekatwa na masai na mang'atiNa kuna raia wanakimbia kama chui.
Hao jamaa wanakimbia sio poaUnakuta bogi lako umekatwa na masai na mang'ati
Tuone mwakahu vile itakua, sijui watatoa liniKwenye usaili wa polisi mwaka jana awakuzingatia urefu kwenye usaili, labda iwe mwaka huu
Nahisi majina ya usaili yatarudi ndani ya huu mwezTuone mwakahu vile itakua, sijui watatoa lini