Naomba munisaidie mawazo wana udom na hata wa vyuo vyengine.

king roja

Senior Member
Joined
May 4, 2012
Posts
141
Reaction score
7
Jaman naomba munisaidie mimi nimechaguliwa udom bachelor of education in special needs nimepatiwa mkopo sh mil 3 laki 2 alfu 27 na mia 5. Nimeshalipa direct cost lakin nimeshindwa kulipa kiwango cha fee kwa kuwa sijajua Asilimia ya mkopo ambayo nitalipiwa na bodi. Ada yangu kwa mwaka ni laki 7
 
ningetamn sana nikusaie ila acha tungojee wataalam waje!!!!
 
Fanya hii hesabu chukua Meals & Accommodation 1,837,500 jumlisha Stationary 200,000 toa hela ya field 620,000 itakayo baki igawanye kwa ada kisha zidisha mara 100% ukipata weka kene makumi mfano umepata 84% weka 90% ukipata 86% weka 90% ukipata 81% weka 90% ukipata 80% acha hivyo hivyo, kwasababu gani nimesema hivyo mkopo unatolewa kwenye makundi ya makumi tu pia na hela ya field inategemea % so haitokua 620,000 tena itapungua, I hope umeelewa
 
wakuu mi naona 2achane na mambo ya % la muhimu ni kujua 2 hela wanayokulipia bodi ktka ada alfu inayobaki ndo utamalizia baada ya kuzichanganua izo hela ulizopata kwa kufanya kama wadau walivyoeleza halafu hela ya field ni sawa kwa wote waliopata mkopo kama 2 hela yako itakua imekidhi ktka meal na acc pamoja na stationary....hivi wakuu ni kweli udom hua hawapewi hela ya special facult?
 
ni kweli
 
Wanapewa kama kutokupewa labda iwe sasa,lakini ngoja waje wengine wachangie
 
tatizo ni kwamba, hujui bodi wanalipa ada kiasi gani. sasa baadhi ya vyuo hawakusajili mpka ulipe ada yako unayotakiwa kulipa. sasa utalipaje wakati hujui unalipiwa sh. ngapi na unatakiwa kujilipia sh. ngapi?
 
Jaman naomba munisaidie mimi nimechaguliwa udom bachelor of education in special needs nimepatiwa mkopo sh mil 3 laki 2 alfu 27 na mia 5. Nimeshalipa direct cost lakin nimeshindwa kulipa kiwango cha fee kwa kuwa sijajua Asilimia ya mkopo ambayo nitalipiwa na bodi. Ada yangu kwa mwaka ni laki 7

Tuko pamoja kaka kwenye special needs
 
Back
Top Bottom