Jaman naomba munisaidie mimi nimechaguliwa udom bachelor of education in special needs nimepatiwa mkopo sh mil 3 laki 2 alfu 27 na mia 5. Nimeshalipa direct cost lakin nimeshindwa kulipa kiwango cha fee kwa kuwa sijajua Asilimia ya mkopo ambayo nitalipiwa na bodi. Ada yangu kwa mwaka ni laki 7