wakuu mi naona 2achane na mambo ya % la muhimu ni kujua 2 hela wanayokulipia bodi ktka ada alfu inayobaki ndo utamalizia baada ya kuzichanganua izo hela ulizopata kwa kufanya kama wadau walivyoeleza halafu hela ya field ni sawa kwa wote waliopata mkopo kama 2 hela yako itakua imekidhi ktka meal na acc pamoja na stationary....hivi wakuu ni kweli udom hua hawapewi hela ya special facult?
Wanapewa kama kutokupewa labda iwe sasa,lakini ngoja waje wengine wachangiewakuu mi naona 2achane na mambo ya % la muhimu ni kujua 2 hela wanayokulipia bodi ktka ada alfu inayobaki ndo utamalizia baada ya kuzichanganua izo hela ulizopata kwa kufanya kama wadau walivyoeleza halafu hela ya field ni sawa kwa wote waliopata mkopo kama 2 hela yako itakua imekidhi ktka meal na acc pamoja na stationary....hivi wakuu ni kweli udom hua hawapewi hela ya special facult?
Jaman naomba munisaidie mimi nimechaguliwa udom bachelor of education in special needs nimepatiwa mkopo sh mil 3 laki 2 alfu 27 na mia 5. Nimeshalipa direct cost lakin nimeshindwa kulipa kiwango cha fee kwa kuwa sijajua Asilimia ya mkopo ambayo nitalipiwa na bodi. Ada yangu kwa mwaka ni laki 7