Naomba muongozo juu ya upandaji bora wa miti ya mvule

Naomba muongozo juu ya upandaji bora wa miti ya mvule

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
Habarini za leo,

Nataka nipande miti ya mvule kwenye shamba langu ili watoto waje kufaidi matunda uko mbeleni. Nipo mkoa wa Mara uku, kwenye wilaya ambayo mvua sio za uhakika na ardhi ina joto kiasi je, mvule utakua vizuri kwenye eneo hili?

Pia naomba kufahamishwa mvule unachukua miaka mingapi kuweza kuanza kuvunwa?
 
Back
Top Bottom