Naomba muongozo katika hili

Naomba muongozo katika hili

Village fooler

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2020
Posts
706
Reaction score
1,425
Nawasalimu katika jina la jamhuri,

Naomba mwenye uelewa katika suala hili anisaidie, iko hivi mimi naishi moja ya mikoa ya kanda ya ziwa kuna rafiki yangu anaishi mkoa wa iringa, juzi alinipigia simu ananiambia kuna tenda ya kukata miti pori kwa ajili ya uchomaji wa mkaa, mimi namiliki chainSaw (mashine ya kukata na kupasulia mbao)

Sasa ombi langu kwa wale wenyeji wa mikoa hiyo hizo mashine zinaruhusiwa kufanya kazi au mpaka niwe na vibali? Je kama mpaka kibali gharama yake ni shilingi ngapi kwa mwezi mmoja?
 
Kibali ni lazima. Chainsaw ni hatari kwa usalama wa miti.
 
Back
Top Bottom