Naomba Muongozo kutoka kwa serikali: Je, mwaka huu kutakuwepo sikukuu za Nane nane?

Naomba Muongozo kutoka kwa serikali: Je, mwaka huu kutakuwepo sikukuu za Nane nane?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Wakuu Kwema!

Nafahamu viongozi wengi wa serikali wanapita humu JF.

Naomba kujua Kama mwaka huu kutakuwa na sikukuu za Nane nane.
Ili wakulima tujue tunafanyaje.

Natanguliza shukran
 
Mods naomba mrekebishe kichwa cha habari hapo juu.

Hapo kwenye "Nane" iwe "Nane nane"
 
Mkuu, mbona tangazo lilitolewa kitambo na serikali kuwa mwaka huu hakutafanyika hayo maadhimisho badala yake pesa zote zitapelekwa kwenye uimarishaji wa huduma za ugani ikiwemo na kuajiri maafisi kilimo wa kisasa kutoka mavyuoni, Be updated Mkuu..!!
 
Kwa sababu ya wimbi la tatu la Corona hakutakuwa na NaneNane.Kwa sababu ya wimbi la tatu la Corona hakutakuwa na NaneNane.
 
Back
Top Bottom