Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 28,297 Reaction score 68,017 Jul 3, 2021 #1 Wakuu Kwema! Nafahamu viongozi wengi wa serikali wanapita humu JF. Naomba kujua Kama mwaka huu kutakuwa na sikukuu za Nane nane. Ili wakulima tujue tunafanyaje. Natanguliza shukran
Wakuu Kwema! Nafahamu viongozi wengi wa serikali wanapita humu JF. Naomba kujua Kama mwaka huu kutakuwa na sikukuu za Nane nane. Ili wakulima tujue tunafanyaje. Natanguliza shukran
Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 28,297 Reaction score 68,017 Jul 3, 2021 Thread starter #2 Mods naomba mrekebishe kichwa cha habari hapo juu. Hapo kwenye "Nane" iwe "Nane nane"
Clark boots JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 6,770 Reaction score 6,202 Jul 3, 2021 #3 Mkuu, mbona tangazo lilitolewa kitambo na serikali kuwa mwaka huu hakutafanyika hayo maadhimisho badala yake pesa zote zitapelekwa kwenye uimarishaji wa huduma za ugani ikiwemo na kuajiri maafisi kilimo wa kisasa kutoka mavyuoni, Be updated Mkuu..!!
Mkuu, mbona tangazo lilitolewa kitambo na serikali kuwa mwaka huu hakutafanyika hayo maadhimisho badala yake pesa zote zitapelekwa kwenye uimarishaji wa huduma za ugani ikiwemo na kuajiri maafisi kilimo wa kisasa kutoka mavyuoni, Be updated Mkuu..!!
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 16,543 Reaction score 7,880 Jul 3, 2021 #4 Kwa sababu ya wimbi la tatu la Corona hakutakuwa na NaneNane.Kwa sababu ya wimbi la tatu la Corona hakutakuwa na NaneNane.
Kwa sababu ya wimbi la tatu la Corona hakutakuwa na NaneNane.Kwa sababu ya wimbi la tatu la Corona hakutakuwa na NaneNane.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 3, 2021 #5 Hazitakuwepo...
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jul 3, 2021 #6 UHURU JR said: Kwa sababu ya wimbi la tatu la Corona hakutakuwa na NaneNane.Kwa sababu ya wimbi la tatu la Corona hakutakuwa na NaneNane. Click to expand... Hata mbio za tochi zingesitishwa tu
UHURU JR said: Kwa sababu ya wimbi la tatu la Corona hakutakuwa na NaneNane.Kwa sababu ya wimbi la tatu la Corona hakutakuwa na NaneNane. Click to expand... Hata mbio za tochi zingesitishwa tu